Mauaji ya goalkeeper Senzo Meyiwa wa Soth Africa yanasikitisha

  
Qukweli! Mauaji ya goalkeeper Senzo Meyiwa wa Soth Africa yanasikitisha kwa wadau wote wa michezo Duniani. Tukio la mauaji ya Meyiwa (27 yrs) ambaye alikua kaptain wa timu ya taifa hilo na pia akitokea katika timu ya Orlando Pirates alipigwa risasi na kufa katika nyumba moja ya rafiki yake wa kike  huko Vosloorus, south of Johannesburg.
Mungu ailaze roho ya Senzo Meyiwa mahala pema peponi.